Takriri


TAKRIRI
Pia Huitwa Ukariri
Kiingereza Repetition
Kitengo Tamathali za Usemi
Aina ya Mbinu / Fani za Lugha

Prev Chuku
Next Tanakuzi

Ni mbinu ya kurudiarudia neno moja au kifungu cha maneno ili kusisitiza ujumbe fulani. Isitoshe, takriri inaweza kujitokeza kwa kurudia rudio wazo fulani katika kazi ya sanaa. Repetition .

  • Tumechoshwa na siasa mbaya. Tumechoshwa na ahadi zisizotimizwa. Tumechoshwa na miradi isiyo kamilika. Tumechoshwa na malumbano na migogoro ya kikabila. Tumechoka.
  • Hongera hongera Bwana Kisaka, hongera kwa ujasiri wako. Hongera! uliyoyatenda ni raha kwetu. hongeraSauti Tamu
St. Paul's Students Choir is launching an app through which customers can order, pay and receive their music through their smart phones or choir website . You can get lyrics, mp3s and videos, for all our albums. Try the app Sauti Tamu mobile app.

A new approach to spread the gospel to all nations. The app also supports automated music sales for M-Pesa (Kenya and Tanzania).

Try it today! Perhaps this is what you/your choir has been looking for!